Wakati Mungu anakuwa ndiye wa kwanza na wamuhimu, ameahidi kutu ongoza. Imeandikwa, Mithali 3:5-6 "Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe katika njia zako mkiri yeye naye atayanyosha mpito yako."
Kama mambo yako ni sambaba na yaMungu basi tuko sawa. imeandikwa, Mathayo 6:33 "Basi utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na haoy yote mtazidishiwa."