Kusubiri hufanya tumwamini Mungu zaidi. Imeandikwa, Zaburi 27:14 "Umngoje Bwana uwe hodari upige moyo konde, naam umngoje Bwana."
Wakati mwingine Mungu anatuliza tusubiri kamla haja tujibu. Imeandikwa, Zaburi 40:1 "Mlimgoja Bwana kwa saburi akaiinamia akakisikia kilio changu."
Wanao imani kwa Yesu watakuwa na saburi. Imeandikwa. Ufunuo 14:12 "Hapo ndipo penye subira ya watakatifu hao wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu."