Je! Mungu anatakatutumie fedha zetu vipi?. Imeandikwa, 1Timotheo 6:17-19 "Walio matajiri wa sasa uwaagize wasijivune wala wasiutumainie utajiri wao yakini bali wamtumaine Munngu atupaye viti vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha watende mema wawe matajiri kwa kutenda mema wawe tayari kwa kutoa mali zao washirikiane na wengine kwa moyo hivi wakijiwekea akiba iwe msingi zuri kwa wakati ujao ili wapate uzima ulio kweli kweli.."
Je! Suleimani asema nini kuhusu fedha na utajiri?. Imeandikwa, Mhubiri 5:10-20. "Apendaye fedha hatashiba fedha wala apendaye wingi hatashinda nyongeza hayo pia ni ubatili mali yakiongezeka hao walao nao huongezeka na mwenyewe hufaidiwa nini? ila kuyatazama kwa macho yeke tu uzingizi wake kibarua ni mtamu kwamba amekula kondoo au amekula kingi lakini kushiba kwake tajiri hakumwachi kulala usingizi. Kuna bala moja nilioiona chini ya jua mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima na mali hizo zimepotea kwa bahati mbaya naye akiwa amezaa mwana hamna kitu mkononi mwake alivyotoka tumboni mwa mamaye atakwenda tupu-tupu kama alivyo kuja asichume kitu cho chote kwa ajili ya kazi yake hata akichukue mkononi mwake. Hiyo ndiyo bala mbaya sana yakwamba kama vile alivyo kuja vivyo hivyo atakwenda zake naye amefaidiwa nini mwenye kujitaabisha kwa ajili ya upepo siku zake zote hula gizani mwenye fedha nyinyi, mwenye uchungu na mwenye ugonjwa. tazama mimi niliyeyaona kuwa ndiyo mema nay a kufaa ni mtu kula na kunywa na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote anayo ifanya chini ya jua siku zote za maisha yake alizopewa na Mungu maanaa hilo ndilo fungu lake. Tena kwa habari za kila wanadamu abaye Mungu amepea mali na ukwasi akamwenzesha kula katika hizo na kuipokea sehemu yake na kuifurahiya amali yake hiyo ndiyo karama ya Mungukwa kuwa mtu hatazikumbuka mno siku zsa maisha yake kwa sababu Mungu hamtabakali katika furaha ya moyo wake."