Twa jiumiza tunapo sema uongo Imeandikwa, Waefeso 4:25 "Basi uvueni uongo mkasemakweli kila mtu na jirani yake kwa maana tuviungo kila mmoja kiungo cha wenzake."
Amri ya tisa ya onya kusema uongo. Ieandikwa, Kutoka 20:16 "Usimchudie jirani yako uongo."
Kusema uongo si kuw akama Kristo. Imeandikwa, Wakolosai 3:9-10 "Msiambiane uongo kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale pamoja na matendo yake mkiva utu mpya unao fanywa upya upate ufahamu sawa sawa na mfano wake yeye aliyeuumba."
Mungu anachukia uongo. Imeandikwa, Mithali 12:22 "Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana Bali watendao uamini ndio furaha yake."
Wenye uongo hawatauona ufalme wa Mungu. Imeandikwa, Zaburi 101:7 "Hatakaa ndani ya nyumba yangu yeye atendaye hila asemaye uongo hata dhibitika mbele ya macho yangu."
Wasio waminifu hawatauona ufalme wa Mungu. Imeandikwa Ufunuo 22:15 "Huko nje wako mbwa na hao wabuduo sanamu na kila, mtu apedaye uongo na kuufanya."
Twakua waongo tunaposema kuwa sisi ni wakristo ikiwa hatutendi kulingana na Kristo. Imeandikwa 1Yohana 2:4 "Yeye asemaye nimemjua wala hazishiki amri zake ni mwongo wala kweli haiku ndani yake."
Wanafiki ni waongo. Imeandikwa, Yakobo 3:14 "Lakini mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu msijisifu wala msiseme uongo juu ya kweli."
Mungu atawasamehe. Imeandikwa, 1Yohana 1:9 "Tukiziungama dhambi zetu yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wetu."