Kuabundu sanamu nikuomba kitu kilicho umbwa badala ya muumbaji. Imeandikwa, Warumi 1:22-23 "Wakijinena kuwa wenyehekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu na ya ndege na ya wanyama na ya vitambaavyo."
Amri kumi zina kanusha kuwana miungu mingine. Imeandikwa, Kutoka 20:3-4 "Usewe na miungu mingine ila mimi Usijifanyie sanamu ya kuchonga wa wala mfano wakitu chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho majini chini ya dunia, Usivisujudie wala kuvutumikia kwa kuwa mimi ni Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao nami na warehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu."