Jesu alishinda dhambi na mauti kwa kuwa zaliwa na kuwa binadamu Imeandikwa. Waebrania 2:14-15 "Basi kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo ili kwa njia ya mauti, yani ibilisi awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa."
Kwa kuwa binadamu kamili Yesu alitufunulia Mungu kwetu kwa njia nzuri sana na ya kushangaza. Imeandikwa. Wafilipi 2:5-7 " Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo ndani ya Kristo Yesu ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu kwa ni kitu chakushikamana na cho bali alijifanya kuwa na utukufu akatwaa namna ya mtumwa akawana mfano wa wanadamu."
Mungu huwatumia wanadanu kuieneza injili. Imeandikwa, 2Wakorintho 4:7 "Lakini tuna hazina hii katika vyombo vya udongo, ili adhama kuu ya uwezo iwe ya Mungu wala si kutoka kwetu."