Ukuu

Je? Mungu hupima je utukufu? Imeandikwa Marko 10:42-44 "yesu akawaita akawaambia mwajua ya kuwa wale walewanao hesabiwa kuwa wakuu wa mataifa huwatawala kwa nguvu na wakubwa wao huwatumikisha lakini haitakuwa hivyo kwenu lakini mtu anayetaka kuwa mkubwa kwenu atakuwa mtumishi wenu na mtu anayetaka kuwa wa kwanza wenu atakuwa mtumwa wa wote."

Ukubwa unapimwa na hali ya kusaidia Imeandikwa Mathayo 23:11-12 "Naye aliye mkubwa wanu atakuwa mtumishi wenu naye yote atakajejikweza atadhiliwa nayeyote atakayejidhili, atakwezwa."