Kuwa na mpamgo katika maisha yako imeandikwa Luka 14:28-31 "Maana nani katika ninyi kamaakitaka kujenga mnara asiye ketikwanza na kuhesabu gharama kwamba anavyovyakumalizia asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi watu wote waonao akaanza kumdhihaki wakisema mtu huyu alianza kujenga akwahana nguvu za kmaliza au kuna mfalme gani akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine asiyeketi kwanza na kufanya shauri kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini?."
Nivema kuwa na mpango mawazoni imeandikwa Methali 13:16 "Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa bali mpumbavu hueneza upumbavu."
Tafuta wenye hekima wakupe mawaidha namna ya kupanga nia yako. Imeandikwa Methali 15:22 "Pasipo mashauri makusudi hubatilika; bali kwa wingi wa washauri huthibithika."
Panga mipango yako kwa uwangalifu bali si kwa haraka imeandikwa Methali 21:5 "Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu; bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji."
Mipango sharti iwe pamoja na kumwogopa Mungu imeandikwa Yakobo 4:15-16 "Badala ya kusema Bwana akipenda tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu kujisifu kwa namna hii ni kubaya."