Kuvumilia huonyesha kuamini kwa kweli. Imeandikwa, Marko 13:13. "Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu lakini mwenye kusaburi hata mwisho ndiye atakayeokoka."
Imeandikwa, Waebrania 3:6 "Bali kristo kama mwana juu ya nyumba ya Mungu ambaya nyumba yeke ni sisi kama tukishikamana na ujasiri wetu na fahari ya taraja letu mpaka mwisho."
Ushindi tumeahidiwa kwa wale watakao vumilia. Imeandikwa, Wafilipi 3:13-14," Ndugu sijidhani nafsi yangu kwamaba nimekwisha kushika ila natenda neno moja tu nikiyasahao yaliyo njuma nikiyachuchumia yaliyo mbele nakaza mwendo niifikie minde ya dhawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Yesu kristo."