Home / Masomo ya Biblia / Kushindwa

Kushindwa

Tukikosa kufaulu, sio mwisho imeandikwa Zaburi 37:23-24 "Htua zamtu zaimarishwa na Bwana, naye aipenda nia yake. ajapojikwaa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kumtegemeza."

Pia watu wema huanuka katika kiroho imeandikwa Zaburi 34:19 "Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana huponya nayo yote."

Usiwe na hofu usipofaulu imeandikwa Yoshua 1:9 "Je? Si mimi niliye kuamuru? uwe hodari na moyo waushujaa usiogope wala usifadhaike kwa kuwa Bwana mungu wako yupamoja nawe kila uwendako."

Waweza kufaulu wakati mwengine imeandikwa Wafilipi 4:13 "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiyae nguvu."