Home / Masomo ya Biblia / Historia

Historia

Twaweza kujielimisha na kufaidika kutokana na mambo ya kale. Imeandikwa 1Wakorintho 10:11 "Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi tulio fikiliwa na miisho ya zamani."

Usiishi maisha ya kale Imeandikwa Wafilipi 3:13 " Ndugu, sijidhani nafsi kwamba nimekwisha kushika ila natenda neno moja tu nikiyasahau yaliyo nyuma nikiyachuchumilia yalio mbele."