Hatari

Kuishi katika maisha ya Kikristo yana hatarisha. Imeandikwa, 2 Wakorintho 4:11-12 "Kama sisi tulio hai Siku zote twatolewa tufe kwa ajili ya Yesu ili uzima wa Yesu nao udhuhrishwe katika miili yetu ipatikanayo na mauti basi hapo mauti hufanya kazi ndani yetu bali uzima ngani yenu."